FAHAMU KUHUSU VIBE FORUMS , APP YA MTANDAO WA KIJAMII ULIOUTEKA ULIMWENGU.
Vibe Forums hii ni application maalum kwa ajili ya watu wote duniani kuanzisha mijadala ,kusambaza habari ,kujifunza mambo muhimu kama vile elimu ya afya ,teknolojia na mambo mengi ya msingi. App hii haipendelei ,inatoa uhuru kwa mtu yeyote aweze kuchapisha taarifa zake mule iwe ni matangazo binafsi ,matangazo ya biashara ,links za website, blogs au applications zingine.
LENGO KUU
Lengo kuu la hii application ni kupromote kazi/biashara za watu mbalimbali ,waliojisajili wanaweza kusambaza vitu walivyonavyo ,pia waliojisajilinna ambao hawajajisajili wanaweza kuona vitu kutoka kwa watu waliojiasajili.

Namna ya kujisajili
Ni rahisi sana namna ya kujisajili ndani ya VIBE FORUMS ,mtumiaji mpya anatakiwa ajisajili kwa email yake ,jima la kutumia (linaruhusiwa lolote, lakini sio lenye matusi ndani yake).

Inapatikana...
Applucation hii inapatikana kwenye store mbalimbali duniani ,hasa playstore inapatikana kwa watumiaji wa android ,ina MBS chache tu (5Mbs) unaweza kuipakua hapa chinI

No comments
Post a Comment