JIFUNZE NAMNA YA KUFAIDIKA NA LOGO , POSTER , FLYERS
`Kutokana na maendeleo ya teknolojia , kuanzia miaka ya 1992s watu wengi walianza kutumia kitu kinaitwa brand yaan kampuni za watu binafsi lakin nyingi zilikuwa na majina yanayolingana yaani kampuni inaweza kutwa SINAI NEWS na brand nyingine inaweza kutumia jina kama hilo na shida isiweze kutokea , hivyo utofauti ulianza kuonekana baad ya kila mmoja wao kuja na chapa yake hivyo kuna umuhimu sana wa kutumia chapa katika kutambulisha kampuni yoyote , karibu sana utengenezewe logo kali , ueditiwe picha mfumo wowote ule unaouhitaji
waweza kuni pata kwa namba 0622421880
waweza kuni pata kwa namba 0622421880
No comments
Post a Comment